Show simple item record

dc.contributor.authorKimathi, Mwembu
dc.contributor.authorAllan, Mugambi
dc.contributor.authorTimothy, K M’Ngaruthi
dc.date.accessioned2023-02-09T14:00:02Z
dc.date.available2023-02-09T14:00:02Z
dc.date.issued2022-09
dc.identifier.citationEast African Journal of Swahili Studiesen_US
dc.identifier.urihttp://repository.tharaka.ac.ke/xmlui/handle/1/4014
dc.description.abstractMakala haya yanalenga kubainisha jinsi fahiwa zinavyohusiana katika leksia za Kîîtharaka kwa kuzingatia mtazamo wa leksika pragmatiki.Ubadili maana katika leksia mbalimbali husababisha kutokea uhusiano wa kifahiwa katika leksia moja, na kati ya leksia mbili au zaidi. Katika makala haya, ubadili maana unaozua uhusiano wa kifahiwa katika leksia za Kîîtharaka umeangaziwa. Data ya kimsingi kutoka wazungumzaji asilia wa Kîîtharaka, imechanganuliwa kwa kutumia nadharia ya Leksika-Pragmantiki. Matokeo yanabainisha kwamba ubadili maana ukitokea katika leksia za Kîîtharaka, mahusiano ya kifahiwa yafuatayo hutokea: uhusiano wa kipolisemia, kihomnimia, kisinonimia, kihaiponimia, kimeronimu na kiantonimu. Makala haya yanahitimisha kwamba, maana ya leksia huwa na uhusiano na maana nyingine ya leksia iyo hiyo au leksia nyingine tofauti. Pia, kuna mwingiliano baina ya maana kimatumizi na maana kimuktadha ya leksia.en_US
dc.language.isoen_USen_US
dc.subjectKîîtharakaen_US
dc.subjectLeksiaen_US
dc.subjectUhusiano Wa Kifahiwaen_US
dc.subjectUbadili Maanaen_US
dc.subjectLeksika-Pragmantikien_US
dc.titleUhusiano wa Kifahiwa katika Leksia za Kîîtharaka: Mtazamo wa Leksika Pragmatikien_US
dc.typeArticleen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record